stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 529
Wakuu tunasambaza vifaa vya ujenzi kwa bei nzuri pamoja na kukuletea hadi site kwako kwa maeneo yote ya pwani na dsm.
Tunauza vifaa kama
Rangi aina zote, gypsum powder, white cement, mikanda ya gypsum( cornizers), angles, maua ya gypsum, gypsum board, fiber tapes, gypsum screw, Tiles, nondo, bati, vifaa vya umeme wa majumbani n.k
Kwa wale wote wanaotaka kuuliza bei karibuni na wa kununua pia
Napatikana kwa 0754729751
Mkuu samahani hzo sinamkuu bomba za chuma kwa ajili ya nguzo unazo?za nch 3,urefu mita 8, thickness mm2
Mkuu samahani hzo sina
Wakuu tunasambaza vifaa vya ujenzi kwa bei nzuri pamoja na kukuletea hadi site kwako kwa maeneo yote ya pwani na dsm.
Tunauza vifaa kama
Rangi aina zote, gypsum powder, white cement, mikanda ya gypsum( cornizers), angles, maua ya gypsum, gypsum board, fiber tapes, gypsum screw, Tiles, nondo, bati, vifaa vya umeme wa majumbani n.k
Kwa wale wote wanaotaka kuuliza bei karibuni na wa kununua pia
Napatikana kwa 0754729751
Mkuu Jongwe wazo lako nishalifanyia kazi na baadhi ya wateja ila nimeishia kukwamishwa na kudhulumiwa pesa yangu, ilifika wakati stoo imeyumba na mfukoni sina kitu na wateja wenyewe kulipa hawataki ikanibidi ni restart afresh ni wachache sana waliolipa
Mkuu waweza chukua mkopo sehemu tukawasiliana nkakusupply kwa bei nafuu
Karibu sana mkuuKama ulishafanyia kazi basi kiongozi, basi ngoja tufanye kinyume chake kulipa awali kidogo-kidogo pesa ikitimia kubeba mzigo. Nitakusemesha kwa simu tufanye makubaliano.