Juzi nimetengeneza ya Ndoa. Nilitengeneza ya Ubatizo wa mtoto ila wadau wanainyoosha 20K kumbe ni 12k tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole Boss huenda ulitengeneza muda sana
Hapa hujapigwa, difference ya kawaidaJuzi nimetengeneza ya Ndoa. Nilitengeneza ya Ubatizo wa mtoto ila wadau wanainyoosha 20K kumbe ni 12k tu.