Nawaletea huduma ya Kuprint Promotional Table.
Hii ni kwa ajili ya wale ambao ni Wafanya biashara ambao wanahama na bidhaa zao.
Hii Promotional table inaongeza thamani ya biashara yako kwani utakuwa na sehemu ya kuweka Bidhaa zako lakini pia inatangaza bidhaa zako na inabadilisha mwonekano wa sehemu ya kuweka Bidhaa zako.
Achana na kuazima meza na kutandika kitambaa.
Hii Promotional Table ina begi lake ukimaliza unakunja unaweka kwenye begi lake na kuondoka nayo...