. SOMA HII.
Magufuri: Diallo,nikipata uraisi takubeba kibiashara.
Katika kauli iliyonifanya nione kweli CCM ni janga la taifa hili na tusitegemee mabadiliko yoyote zaidi ya kubebana kama shukrani katika uongozi wa Magufuri, juzi wakati anamuita mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza bwana Antony Diallo, Magufuri pasipo aibu na kuonyesha kuwa kweli CCM haina future tena alitamka na namnukuu; Antony Diallo wewe ndiye umetusaidia kuturushia mikutano yetu ya kampeni,hivyo nikiwa raisi tahakikisha nakubeba katika biashara zako!!!
HUYU NDIYE MUADILIFU ATAKAYE ANZISHA MAHAKAMA YA KUFUNGA MAFISADI NA MAJIZI.
Tatizo umeacha baadhi ya maneno ili kuleta picha uliyodhamilia. Alimzungumzia Diallo kama mwekezaji mzawa kama alivyo Mengi anayelilia upendeleo maalum kwenye vitalu vya gesi.
Diallo na Star Tv yake kwa Magufuli haina tofauti na Mengi na ITV yake kwa Lowassa. Labda Azam ndio yuko more balanced!
uadilifu wake ni kwa kulinda na kuboresha mafisadi kama kawaida ya ccm,na sio kuondoa ufisadi
Magufuli: Diallo,nikipata uraisi takubeba kibiashara.
Katika kauli iliyonifanya nione kweli CCM ni janga la taifa hili na tusitegemee mabadiliko yoyote zaidi ya kubebana kama shukrani katika uongozi wa Magufuri, juzi wakati anamuita mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza bwana Antony Diallo, Magufuri pasipo aibu na kuonyesha kuwa kweli CCM haina future tena alitamka na namnukuu; Antony Diallo wewe ndiye umetusaidia kuturushia mikutano yetu ya kampeni, hivyo nikiwa raisi tahakikisha nakubeba katika biashara zako!!!

Yaani anaanza ufisadi bila hata ya hio ikulu anayoiota! huyu kweli hafai. Watanzania tusifanye mchezoMagufuli kesho kutwa!