Heshima Mbele.
kwa wale wote wanaohitaji huduma ya passport size photos express kwa ajiri ya wanafunzi au kundi maalum .
Tunapiga picha kwa gharama nafuu DSM na maeneo jirani.
Ili tufike kwenye taasisi yako unatakiwa kuwa na watu 30 na kuendelea.
Watu 30-100 Gharama 8pps tsh 2000
Watu 101 na kuendelea 8pps Tsh 1500
Ni pm kwa mawasiliano.