mwalukuni mchanyato
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 406
- 233
Inategemea Ntu na Ntu ndugu mtoa mada.
Kudumu na mwanamke mda mrefu ni sawa na kula ugali kila siku utaweza?
Wake wa zama hizi tumekosa "uvumilivu"
Na waume wa zama hizi wamekosa "utulivu"
Kwa hiyo nmkatae asinioe,usinikatishe tamaa basi....