Tunaotafuta Kazi Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) Tukutane Hapa

Kasema pia mbowe katafuna bil 1.9 ya chadema, hapo vipi?
 
Naipenda sana hii kazi ya usalama tangu siku nilipopata tu kusikia na kufahamu neno usalama wa taifa!!
Sema sina namna ya kuweza kuifikia lakini nitaendelea kuitamani sana bila kujali maslahi yake,hata kama ni bure!!
 
kujiunga simple tu.…. tengeneza kitambulisho kama hichi…. wasipokupangia kwenye kikosi maalumu basi watakupa ukuu wa wilaya
NB: UVCCM card is mandatory

View attachment 1207138
Kwanza huyu atawadanganya wajinga wenzake. Kitambulisho Cha mtu wa usalama wa taifa hakiko hivi. Yaani huyu mtu nikikutana nae akanitishia kwa kunionyesha huu upuuzi eti Ni kitambulisho namkata makofi Kama matatu ya harakaharaka kwanza harafu namuitia polisi wakamuhifadhi mahali salama
 
Kuna kazi ambazo hazina bahati kupata. Ukiacha vyeti vya shule, una talent gani au ujuzi gani ambao ni kama kipaji ulichojaaliwa.
Hizi kazi nadhani yungekuwa tuna omba kama tunavyoomba chuo wenye bahati wanapata wasio na bahati wanakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…