Hahaha. Kumbe vitambulisho vyao vinakua hivyo.kujiunga simple tu.…. tengeneza kitambulisho kama hichi…. wasipokupangia kwenye kikosi maalumu basi watakupa ukuu wa wilayaView attachment 1207138
NB: UVCCM card is mandatory
Kashasema kwenye bajaji mkuu,Dah wewe jamaa bana kwa hiyo na wewe ni TISS ? Kazi ipo
Kasema pia mbowe katafuna bil 1.9 ya chadema, hapo vipi?Sasa Mazero Brain yaliyojazana huko kutoka UVCCM na mimi nani Garasa? Je mimi nayeamini habari za kigogo na wewe unayeamini habari za Mayagi Mulaga ,nani zaidi? Kati ya Mulaga na Kigogo nani anayetoa habari za kweli?
1.Unajua kigogo alitoa taarifa ya kutumbuliwa kapilimba masaa ma3 kabla?
2.Unajua kwamba kigogo alisema kwamba raphael aliyetekwa ataenda kutupwa kwenye na kweli kesho yake aliokotwa mombasa.
3.Haya kigogo kasema Msechu au kafuru ameyapeleka mafaili yao kwa Meko kwa ajili ya uteuzi,subiri sasa uje kuona.
4.Prof wa BOT atatumbuliwa mda wowote ngoja tusubiri.
Unajua kwamba Mange ndio aliyefichua lengo la BASHITE kuwataka wakazi wa DAR kuondoa TINTED kwenye MAGARI?
Kwanza huyu atawadanganya wajinga wenzake. Kitambulisho Cha mtu wa usalama wa taifa hakiko hivi. Yaani huyu mtu nikikutana nae akanitishia kwa kunionyesha huu upuuzi eti Ni kitambulisho namkata makofi Kama matatu ya harakaharaka kwanza harafu namuitia polisi wakamuhifadhi mahali salamakujiunga simple tu.…. tengeneza kitambulisho kama hichi…. wasipokupangia kwenye kikosi maalumu basi watakupa ukuu wa wilaya
NB: UVCCM card is mandatory
View attachment 1207138
Only for geniuses....Kama wanataka watu wenye akili kubwa wasinisahau..
Waza nje ya Boksi.Kama ukizingua na usipojiua kitatokea nini?
Hizi kazi nadhani yungekuwa tuna omba kama tunavyoomba chuo wenye bahati wanapata wasio na bahati wanakosa
Hapo ndio wanakosea sana maana sio vijana wote wanaoweza kwenda JKT au kuwa uvvccmUKWELI MCHUNGU:mlamgo mkubwa wa kuingilia Huko upo JKT NA UVCCM
Hapo ndio wanakosea sana maana sio vijana wote wanaoweza kwenda JKT au kuwa uvvccm
Vipi mlipata kazi??
Vipi mlipata kazi??