Mtalebani Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 12, 2020
- 566
- 655
Team Kiba katika ubora wakoSio uenda, ni ukweli ali kiba ni mwalimu na inspired many diamond akiwemo...juzi kaimba wimbo wa hadithi wa kiba, he has to
Diamond learned and inspired na hao akina Kiba, z anto, marlaw, soggy dog, suma lee... Voice wonder n. K
Ali kiba haendani na upepo ni mtu wa kanuni zake na hachoshi, creative na ana ile ladha halisi na bongo flavor
Ni ali kiba na bob junior ambao walimwambia diamond asi rap aimbe, ni ali kiba kamfundisha face face diamond punches zinakuwaje(tafuta interview ndefu ya ommy dimpo xxl)
Diamond kawekwa au kajiweka juu ambapo inamnyima raha, kiti cha moto... Maana yake kila siku wanakuja artist wapya hauwezi uka wa ignorw, aten, ndela, kusah, onesix... Hauwezi ukawaweka hapa na bado diamond akawa comfortable.. alitaka hilo linamuumiza
Ali kiba ka keep low ila tunaomjuq kutoka nakshi naksho, mac muga, hadithi.... Mpaka leo mshumaa sio wa kuongelewa au kwekwa level moja na akina Mond... kiba sio mtu wa publicity na kiki, kipaji na kazi zinamuweka pale. Haya mambo ya kukosa mvuto kwa sababu hayuko na ZARI ni uthibitisho tosha kuwa Diamond peke yake hawezi
Ukijiingiza zaidi kwenye siasa na hasa CCM ujue we kwisha habari yako! wako wapi akina Mrisho Mpoto na afande SELE!
Kujiingiza kwenye CCM hapo ndoo pakuangalia sana inaweza likawa ndoo jibu make huko ni laana tu ,Mungu azihaikiwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Team Kiba katika ubora wako
Ali kiba ka keep low ila tunaomjuq kutoka nakshi naksho, mac muga, hadithi.... Mpaka leo mshumaa sio wa kuongelewa au kwekwa level moja na akina Mond... kiba sio mtu wa publicity na kiki, kipaji na kazi zinamuweka pale.
Harmonize na ubunge anataka kupewa huko kwao kama shukrani kwa kumuimbia mwenyekiti wa ccmMbona huyo mnae mpenda harmo ndo saivi anajihusisha na shughuli za ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nyie mlio karibu na Kiba kwa nini msimshauri arudi kwa Man Water? Toka atoke kule hawa ma producer wengine aliofanya nao hawajaweza sana kwenye vile vionjo vyenyewe vya Kiba. Kuna wakati inaonekana kama vile kurudi kwa Kiba kwenye chati kunategea yeye kufanya kazi na Man Water kama vile Mondi anavyomtegemea nanihii....!!!
Oh...ahsante mkuu.Sio uenda, ni ukweli ali kiba ni mwalimu na inspired many diamond akiwemo...juzi kaimba wimbo wa hadithi wa kiba, he has to
Diamond learned and inspired na hao akina Kiba, z anto, marlaw, soggy dog, suma lee... Voice wonder n. K
Ali kiba haendani na upepo ni mtu wa kanuni zake na hachoshi, creative na ana ile ladha halisi na bongo flavor
Ni ali kiba na bob junior ambao walimwambia diamond asi rap aimbe, ni ali kiba kamfundisha face face diamond punches zinakuwaje(tafuta interview ndefu ya ommy dimpo xxl)
Diamond kawekwa au kajiweka juu ambapo inamnyima raha, kiti cha moto... Maana yake kila siku wanakuja artist wapya hauwezi uka wa ignorw, aten, ndela, kusah, onesix... Hauwezi ukawaweka hapa na bado diamond akawa comfortable.. alitaka hilo linamuumiza
Ali kiba ka keep low ila tunaomjuq kutoka nakshi naksho, mac muga, hadithi.... Mpaka leo mshumaa sio wa kuongelewa au kwekwa level moja na akina Mond... kiba sio mtu wa publicity na kiki, kipaji na kazi zinamuweka pale. Haya mambo ya kukosa mvuto kwa sababu hayuko na ZARI ni uthibitisho tosha kuwa Diamond peke yake hawezi
Katafute full interview ya Ommy dimpoz xxl ushaambiwaTeam Kiba katika ubora wako
Tangu ALIKIBA aachane na MAN WATER unavyoona nani hasikiki mjini kati ya MAN WATER na KIBA?.. kipaji hakitegemei mtu popote kazi inaenda tu...rejea DIAMOND alipoachana na BOB JUNIORMkuu nyie mlio karibu na Kiba kwa nini msimshauri arudi kwa Man Water? Toka atoke kule hawa ma producer wengine aliofanya nao hawajaweza sana kwenye vile vionjo vyenyewe vya Kiba.
Kuna wakati inaonekana kama vile kurudi kwa Kiba kwenye chati kunategea yeye kufanya kazi na Man Water kama vile Mondi anavyomtegemea nanihii....!!!
Asante kwa taarifa ndugu Kiba....Mnawazaga nini kabla ya kupost wazee?..katika akili ya kawaida aliyepo hatarini zaidi ni Diamond coz list ya wasiopatana nae inazidi kuwa kubwa, bt mnampaga u Mungu mtu kama vile hawezekaniki isn't true..Diamond mwenyewe akiamua kuwa mkweli huenda ALI KIBA ni mmoja wa role models wake (kama unafatilia Muziki tangu zamani itakuwa umeelewa)..mnataka kumfanya Diamond n kama dude kuuuuuuubwa lililoshindkana siyo kweli mzee, nadhani ulipaswa kumfikiria yeye zaidi kwamba vipi mkuu mbona Kila siku maadui wanaongezeka dhidi yako?..
Kiba mwaka wa 17 now kwenye game wamekuja watoto kibao akina jux,Ben pol,belle,Ommy dimpoz ambao kimsingi tulitegemea ndo wangemchallenge diamond bt haikuwah kuwa bt ikawa ALI KIBA ulishajiuliza why?..hata Diamond mwenyewe anajua HATARI na ATHARI za KIBA kwenye bongofleva industry na ndo maana alikuwa akimuandama bt jamaa anakausha Kiba hayupo kuu sababu ya bifu harmo Leo kaachia ngoma 18 yaani albam sasa ngoja Kiba atoe ngoma 1 afu uone impact yake ndo utaelewa vizuri nn namaanisha...mwambieni Mondi apunguze kuvimba hali inazidi kuwa tete.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie hao timu kwioonimejaribu kuangalia comments za watu humu nikabaki nacheka tu.
eti tokea aende kigoma nyota imeshuka. hivi tuulizane hapa, diamond ameenda lini kigoma kwenye ile event yake, na ametoa ngoma ngapi baada ya hapo na zinendeleaje. jamani tuache kuhukumu vitu bila reasoning ya kueleweka. mtu ameenda mwisho wa mwaka yan tuseme hadi mwaka huu unaanza alikuwa KG. na huu ni mwezi tatu ndio kwanza mwanzo wa mwaka,. watu mshaanza ramli zenu.
Nakumbuka mwaka 2018 baada ya kuachia albam yake ya " a boy from tandale" alikaa mwaka mzima bila wimbo watu wakaanza maneno oohh ameishiwa. mwanzoni mwa mwaka jana 2019 akaanza na the one, watu ooh ngoma gani mara ilikuwa sijui ya nani.. ila baada ya mwaka 2019 kuisha nadhani wote tunafahamu nini kilifanyika. kwenye top 10 ya nyimbo zilizofanya vizuri youtube kusini mwa jangwa la sahara yeye alikuwa na ngoma kama nne hivi. na show kibao za kimataifa.. kwahiyo nyie mnaojifanya watabiri leo tuombe tu uzima tutakutana mwezi wa 12 kutoa tathmini ya soko la muziki sio kwa wasanii wa Tz bali Africa.
Mi nashauri tu diamond tuache kumpigia ramli maana zilianzaga toka 2013. tutulie tu siku akiishiwa ndio tuongee. ila vinginevyo tutakuwa tunakula matapishi yetu kila siku. OVER.
Sent using Jamii Forums mobile app
hata kipindi anatoa marry you mlisema diamond wa kipindi cha ukimwona,mawazo,number one sio yule wa marry me hahahaa hao ndio binadamu ukinya tabu,ukijamba tabu ukikojoa shidaUkimchek mond wa enzi za MERRY ME akimshirikisha ne-yo, sio huyu wa sasa, by then alipendwa na wengi, now ana maadui wengi, tatizo liko wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Blaza Kaka agiza sanitizer na mask nakuja kulipanimejaribu kuangalia comments za watu humu nikabaki nacheka tu.
eti tokea aende kigoma nyota imeshuka. hivi tuulizane hapa, diamond ameenda lini kigoma kwenye ile event yake, na ametoa ngoma ngapi baada ya hapo na zinendeleaje. jamani tuache kuhukumu vitu bila reasoning ya kueleweka. mtu ameenda mwisho wa mwaka yan tuseme hadi mwaka huu unaanza alikuwa KG. na huu ni mwezi tatu ndio kwanza mwanzo wa mwaka,. watu mshaanza ramli zenu.
Nakumbuka mwaka 2018 baada ya kuachia albam yake ya " a boy from tandale" alikaa mwaka mzima bila wimbo watu wakaanza maneno oohh ameishiwa. mwanzoni mwa mwaka jana 2019 akaanza na the one, watu ooh ngoma gani mara ilikuwa sijui ya nani.. ila baada ya mwaka 2019 kuisha nadhani wote tunafahamu nini kilifanyika. kwenye top 10 ya nyimbo zilizofanya vizuri youtube kusini mwa jangwa la sahara yeye alikuwa na ngoma kama nne hivi. na show kibao za kimataifa.. kwahiyo nyie mnaojifanya watabiri leo tuombe tu uzima tutakutana mwezi wa 12 kutoa tathmini ya soko la muziki sio kwa wasanii wa Tz bali Africa.
Mi nashauri tu diamond tuache kumpigia ramli maana zilianzaga toka 2013. tutulie tu siku akiishiwa ndio tuongee. ila vinginevyo tutakuwa tunakula matapishi yetu kila siku. OVER.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simpendi huyu bana mdogo anazalilisha wanawake.
Yuko beneti na mama tu sijajua hata lengo lao
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond kaanza kuwatungia nyimbo ccm tangu 2010Ukijiingiza zaidi kwenye siasa na hasa CCM ujue we kwisha habari yako! wako wapi akina Mrisho Mpoto na afande SELE!