D dyana Member Joined Jul 15, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Jul 22, 2014 #1 nahitaji kufungua biashara lakini mtaji nilionao ni laki nne tu sasa cjui nifungue biashara gani ndo itaaford mtaji nilionao wenye uzoefu anisaidie mawazo.
nahitaji kufungua biashara lakini mtaji nilionao ni laki nne tu sasa cjui nifungue biashara gani ndo itaaford mtaji nilionao wenye uzoefu anisaidie mawazo.
A agmahaule Member Joined Jul 19, 2014 Posts 6 Reaction score 2 Jul 22, 2014 #2 Kwanza Wewe Unapenda Biashara Gani??