Huyu Slaaa anaonesha ana tabia ya Kuzira. Hivi kuna mtu anajua kwa nini aliacha Upadri akazira na kuwa mwanasiasa.
Hiyo ndio shidaaa ukiwa roho ya namna hiyo. Yeye aongee asemalo lakini watu CCM imewachoshaaaa! Watamchagua Lowasa tuuu..! Yeye akale hizo bilioni zake nchi za nje kama alivyoahidiwa na CCM. Ataamia ulaya!!!!