Sa100 hauzikiJamani ni muhimu tufahamu CV,ya huyu mpambanaji wa taifa letu pendwa. Maana amejilupwa sana.
Alikosoma yeye na lisu ndo tuanze kupeleka wajukuu zetu huko. Elimu yake? Exposure yake? Kabila lake ? Ni kwa nia njema tu .
Mungu mbariki pole pole, na inua wengine wakinga pole pole wengi zaidi ikikupendeza Ee Mungu !
Taifa kwanza vyama badae.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu Toka lini akabariki wanafiki na wewe!!?Jamani ni muhimu tufahamu CV,ya huyu mpambanaji wa taifa letu pendwa. Maana amejilupwa sana.
Alikosoma yeye na lisu ndo tuanze kupeleka wajukuu zetu huko. Elimu yake? Exposure yake? Kabila lake ? Ni kwa nia njema tu .
Mungu mbariki pole pole, na inua wengine wakinga pole pole wengi zaidi ikikupendeza Ee Mungu !
Taifa kwanza vyama badae.
Mungu ibariki Tanzania.
Mnafiki hana msamaa mbele ya Mungu ndugu.Amesamehewa dhambi zote mkuu, amekuwa kiumbe kipya.
Weka CV ya Sir MiaJamani ni muhimu tufahamu CV,ya huyu mpambanaji wa taifa letu pendwa. Maana amejilupwa sana.
Alikosoma yeye na lisu ndo tuanze kupeleka wajukuu zetu huko. Elimu yake? Exposure yake? Kabila lake ? Ni kwa nia njema tu .
Mungu mbariki Polepole, na inua wengine wakinga Polepole wengi zaidi ikikupendeza Ee Mungu !
Taifa kwanza vyama badae.
Mungu ibariki Tanzania.