mashi ga ngoko
Member
- Jul 15, 2018
- 96
- 50
kuanzia anapoacha kunyonya tu.Unanunua ndama wa umri gani?
Nahitaji wengi tu,bei maelewano mpaka nione aina ya ng'ombe ukubwa n.kKwa aliyeacha kunyonya unanunua sh. ngapi? Unahitaji wangapi?
Wa kisasa ndio kipaumbele,hao wengine naangalia mfupa wake.
Wa kisasa ndio kipaumbele,hao wengine naangalia mfupa wake.
Ndio
Kwa ajili ya unenepeshaji?Wa kisasa ndio kipaumbele,hao wengine naangalia mfupa wake.
Bei hiyo ni kwa umri wa miezi mingapi?Mkuu hongera
Mi ninao watano wa kisasa Jesse
Ila bei nadhani hutoweza maana hawapungui million 1.5
Less than six monthsBei hiyo ni kwa umri wa miezi mingapi?
Umuone kwenye picha au tukuletee hapo ulipo?Nahitaji wengi tu,bei maelewano mpaka nione aina ya ng'ombe ukubwa n.k
niambie ulipo nije nimuone mkuu.Umuone kwenye picha au tukuletee hapo ulipo?
Wasiliana nambi kwa namba hi 0788 548 673