simba wakimuongezea mkataba nitawadharau sana siyo kujambishwa WAMEDHARAULIWA SANA kujambishwa tushajambishwa na chama,hata kagere alishawahi kujambisha kwamba zamalek wanamtaka mara team ya la liga inamtaka leo kuna manula na meneja wake jemedari said wanajambisha kwamba kuna dau la mshahara milioni 18 kwa mwezi pale sudan lakiini ushawahi kuona mgogoro wa kibwege kama wa zimbwe?Hizo biashara tu ili Zimbwe apandishiwe dau kama ilivyo kwa Chama,ila 100% haendi popote atabaki Simba.
Ila na msifu wakala wake Zimbwe ana akili anajua kuwajambisha Simba ili mchezaji wake apewe dau kubwa.
kabla meneja hajaropoka akishiriana na rafiki yake shaffih dauda zimbwe alisema simba wamepishana naye shilingi milioni 2 tu, alitaka mshahara between 8-10 millions a month na signing fee ya 70 milioni, simba wakakubali ila signing fee wakasema wanatoa 68 millions
kesho yake klabu ikatukanwa vya kutosha kwenye media na meneja muhuni na shafih dauda naye akaporomosha kebehi za kutosha kwa CEO wa team.
Hata akipewa makataba mpya haina maana atacheza kwa kinyongo maana meneja wake analalamika kijana wake haitwi ofisini kwa MO kunywa kahawa na kupiga picha, ujinga mtupu.
Siyo vibaya akachukue milions 100 ya yanga na mshahara wa milions 10 kila mwezi kule atathaminika, kuhusu namba tatu yupo gadiel michael atakuja Luhende wa kagera au Bryson wa KMC inatosha.
unajua maana ya negotiation mkuu? sasa simba wameshindwa meneja keshasema yanga kuna milions 100 za kusaini na milions 10 kwa mwezi mara south africa kuna milions 23 mshahara kwa mwezi wansubiri nini sasa?si waondoke kelele ziiishe?Kama ni kweli huo ndo utani sasa wanashindwaje hizo 2m
Yaani mkuu hata mimi nashangaa kwahiyo wakamuacha mchezaji atoke kabisa ofisini kisa milion 2 tu why wasingempa hiyo Mil.70 na suala lingekuwa limeisha ina maana wao wanashaka Zimbwe Jr hastahili hilo dau na mshahara wa mil 8 kwa mweziKama ni kweli huo ndo utani sasa wanashindwaje hizo 2m
keshahsaini mkataba mpyaYaani mkuu hata mimi nashangaa kwahiyo wakamuacha mchezaji atoke kabisa ofisini kisa milion 2 tu why wasingempa hiyo Mil.70 na suala lingekuwa limeisha ina maana wao wanashaka Zimbwe Jr hastahili hilo dau na mshahara wa mil 8 kwa mwezi
keshahsaini mkataba mpyaView attachment 1766620
Singano alifanyeje kakaunajua maana ya negotiation mkuu? sasa simba wameshindwa meneja keshasema yanga kuna milions 100 za kusaini na milions 10 kwa mwezi mara south africa kuna milions 23 mshahara kwa mwezi wansubiri nini sasa?si waondoke kelele ziiishe?
Of all people yaani back up ya kupigisha SHORT ni shaffih dauda?yule mhaya ana dharau sana watu wameghafilika sana kwa kweli waende tuuuu tena dauda atamsaidia sana kama alivyomsaidia Ramadhani singano
umesahau sakata la 2015 dauda alimepeka azam,kaenda mazembe kaonekana garasa kapelekwa nkana kawa kituko kumbuka nkana kwa sasa inakaribia kushuka daraja angalau ambokile anapata nmba hapo nkana..sasa alikuwa keshamgeukia zimbwe ila hela si ishatoka atakuwa kalipwa chake baada ya kumtukana CEO na team ya simbaSingano alifanyeje kaka
Nilikuwambia umeona,kwenye mpira haya ni mambo ya kawaida,club inajambishwa ili itoe dau kubwa.simba wakimuongezea mkataba nitawadharau sana siyo kujambishwa WAMEDHARAULIWA SANA kujambishwa tushajambishwa na chama,hata kagere alishawahi kujambisha kwamba zamalek wanamtaka mara team ya la liga inamtaka leo kuna manula na meneja wake jemedari said wanajambisha kwamba kuna dau la mshahara milioni 18 kwa mwezi pale sudan lakiini ushawahi kuona mgogoro wa kibwege kama wa zimbwe?
HERRY MZOZO NA SHAFFIH DAUDA WAMETUKERA SANA NI DHARAU KUBWA KWA KLABU ,DAUDA ALIFANIKIWA KUIDHALILISHA SIMBA 2015 ISSUE YA SINGANO NAONA KARUDI TENA, KUMUONGEZA MKATABA ZIMBWE ITAKUWA NI UDHAIFU MKUBWA SANA KWA SIMBA
Hili la Zimbwe limekwisha,haya sasa mnafki Dauda na mapro wake watafute lingine mbwa hawa.Tayari huko... View attachment 1766876
Safi kabisaa mkuu nimejisikia furaha sana Zimbwe Jr kubaki klabuni sasa ni Kapombe na Manulakeshahsaini mkataba mpyaView attachment 1766620