Tunalaani uwanja Chato, nchi hii upendeleo ulianza zamani Wachaga mkiongoza

Umeona mi ni mwalimu wa bei nafuu! Haya ni maneo ya kiingereza with no congruence with our discussion.
Kazana jisomee, hangaika na internet. JF siyo ubishi tu, kuna watu wamenufaika na JF. Lakini, usitake kujifunza kwa ubishi. Comprenez-vous?
 
Subili msumari wa moto uingie. Vumilia tu
Nataka nikuambie tu hata kwenye hiyo miradi siajabu kukuta wachaga ndiyo watakao nufaika, kama kawaida yao watajisogeza kuwekeza huko! Nafaida itakayo patikana itapelekwa moshi kama kawaida.🤣🤣
 
Umeona mi ni mwalimu wa bei nafuu! Haya ni maneo ya kiingereza with no congruence with our discussion.
Kazana jisomee, hangaika na internet. JF siyo ubishi tu, kuna watu wamenufaika na JF. Lakini, usitake kujifunza kwa ubishi. Comprenez-vous?

I am not for turning! U google that
 
Magufuli Yuko sahihi, kwa mjadala wa humu Yuko sahihi, nyie wakaskas Punguzen wivu
 
Baada ya majadiliano haya ndo nimeiona sura halisi ya Ndugu hawa kujivunia yaliyotendeka kwao bial kujali wengine walionyimwa. Leo hii wanalaani wengine wakidhani wanatenda hayo kama wao walivyotenda.
 
Mmmh! Nionavyo kwa reactions kama hizi, itakuwa vigumu CHADEMA kupenya nchini. Kuna hatred na kwa ujumla, bahati mbaya, Wachaga wanashindwa kuficha ukabila.
 
Wale munaopiga vita ukabila kwa sasa mukiamini itawapa kura za kutosha. BAdo wachaga munatajwa kila siku kwa kila aina ya ukabila.
 
Kumbe
Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Ufinyu wa akili Ndiyo shida kubwa hapa
 
Natafakari sana juu ya hili! Hivi kweli Wachaga wamesoma sana? Hii elimu ya form 4? Nikiangalia idadi ya wasukuma wote waliosoma hadi digrii, mbona ni zaidi ya wachaga wote hadi wale ambao hawajui kusoma na kuandika? NI ubaguzi tu! Ukipenda ujinga kila leo utasifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…