Mpendakukimbiakimbia
Senior Member
- May 18, 2018
- 151
- 274
Stendi za magari na zahanati kujengwa ni kigezo cha uchumi kukuwa nifafanulie mkuu?Ma mdogo sio kila kitu unapinga,mi juzi kati nimeenda chalinze nikakuta yanajengwa makao makuu ya wilaya pamoja na stendi ya mabasi kama ya Mbezi.Nilivyoona hivyo nikashusha pumzi na kutabasamu,nikasema ngoja niende kwenye kijiji cha jirani ambapo kuna kiwanja-Shamba changu eka moja napo nikakuta wamejichanganya eti wanachimba msingi ili wajenge zahanati ya kijiji,wanachonga barabara ya kuelekea kijiji cha Wamasai.
kilichonifurahisha zaidi wamepima nguzo za umeme utakaoenda Zahanati ya kijiji mbele ya kiwanja changu.Mungu anipe nini mimi?Yaani hapa nimeutuliza mshono wangu na ntaendelea kuutuliza nikiwa nasubiri SGR ikamilike nikapandie NGERENGERE ili niwe nakuja Dar kufanya kazi na jioni kurudi Chalinze kwenye mjengo wangu.
Ushauri:Ma mdogo we tuliza tu mshono maana hamna namna na ukijichanganya kuleta makuzi Ninja anakuletea Defender kitaani kwenu
Wavivu tu hao!Wewe kama wewe umefungua biashara gani Serikali ikakufungia na kukuita mwizi?
Bila katiba mpya hii chama chetu pendwa kitaebdelea kutawala milele kama alivyosema Mwenyekiti wetu. Kama mungeweza wapinzani mngeidai hiyo ingeweza mubadilosha mambo. Vinginevyo ni kelele za mlango tuu ambazo cku zote hazimfanyi mwenye nyumba ashindwe kulalaWavivu tu hao!
Ndiyo hao waliosema sitoki nje kuna mbweha mkubwa!
Sisi tuendelee kusonga mbele na nchi yetu!
Katiba mpya itasaidia wasababu iliyopo ni mbovu na mbinyaji wake nani wa kumgusa?Katiba mpya itasaidia nini kama hiyo iliyopo hajawahi kuheshimiwa wala hakuna mtu wa kuhoji inavyobinywa?
Uchumi wa kitapeli, rushwa , wizi, ufisadi ndio unakufaa mkuuKila dalili zinaonesha tunaingia kwenye socialist ecomic system ambayo inaua uchumi. Baadhi ya disadvantages za socialist au comand au plannd economy ni zifuatazo.
1. No political freedom
2. Slow envestments and slow economic growth
3. No individual initiatives
4. No interaction of economic variables nk
Hii inatokana na kwamba sasa hivi matamko ndo yanaongoza uchumi hivyo hata wale wawekezaji wachache waliotaka kuwekeza wataogopa mana lolote linaweza kutokea na hii nimbaya sana inaitwa risk kwa mwekezaji. Hamna mtu ambaye atakuwa inovative tena mana unaweza kupotzwa. Hakutakuwa na mzunguko mzuri wa pesa na comfities yaan velocity of currency na transaction vitapungua which will eventually give rise to prive hence hype inflation. Sasa hivi tunaenjoy mfuko wa bei kupungua lakini ni at the expnse of people. Mbayw zaidi ni kwamba badala ya kusarpot watu wakue kibiashara serikali inafunga na kudiscourage kabisa kwa kigezo kwamba ni wezi. Ajira zimepungua ambapo consumption level inakeenda chini sikuhadi siku. Throgh paradox of thrift hata saving inakwenda chini maana yake ni kwamba baada ya mwaka au miwili hivi mabenk yatakosa ukwasi na kujifunga automatically.
Kwa wachumi wamenielewa. Ni hayo tu kwa leo nitaendela kutoa somo