Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
View attachment 1343122View attachment 1343123
Waathirika wa mafuriko Wilayani Kilwa, Lindi ambao wamefikia zaidi ya Elfu 10 katika makambi mbambali yaliyotengwa kuwahifadhi, wamelalamikia uhaba wa mahitaji muhimu ikiwemo chakula .
•
"Chakula tumeambiwa kipo lakini ni kidogo, Watoto na Wazee hali zao ni mbaya, naiomba Serikali iongeze chakula, ituongezee nguo, nguo zote zimeondoka na maji, nyumbba zote zimebomoka, Serikali itusaidie Binadamu sisi" - Mwananchi Kilwa
•
"Mafuriko yanapokuja hayana taarifa, kwa jinsi Watu walivyo wengi, vijiji zaidi ya 16, kaya 3774, Watu zaidi ya Elfu 15 lazima kuwe na shida ya chakula, wanaoguswa waje kuongeza nguvu" - Christopher Ngubiagai, Mkuu wa Wilaya Kilwa
#MillardAyoUPDATES
sitaki kumung'unya maneno hii habari imenichanganyia mafaili vibaya mno, hii ni aibu tosha kabisaView attachment 1343122View attachment 1343123
Waathirika wa mafuriko Wilayani Kilwa, Lindi ambao wamefikia zaidi ya Elfu 10 katika makambi mbambali yaliyotengwa kuwahifadhi, wamelalamikia uhaba wa mahitaji muhimu ikiwemo chakula .
•
"Chakula tumeambiwa kipo lakini ni kidogo, Watoto na Wazee hali zao ni mbaya, naiomba Serikali iongeze chakula, ituongezee nguo, nguo zote zimeondoka na maji, nyumbba zote zimebomoka, Serikali itusaidie Binadamu sisi" - Mwananchi Kilwa
•
"Mafuriko yanapokuja hayana taarifa, kwa jinsi Watu walivyo wengi, vijiji zaidi ya 16, kaya 3774, Watu zaidi ya Elfu 15 lazima kuwe na shida ya chakula, wanaoguswa waje kuongeza nguvu" - Christopher Ngubiagai, Mkuu wa Wilaya Kilwa
#MillardAyoUPDATES
Hapo Mukulu kulu akiipata hii habar atawaambia "mafuriko hayakuletwa na serikali"hatuna serikali ya wananchi ,tuna serikali ya madaraja na ndege
Unaweza kuta hata taarifa ya madhara ya mvua Tanzania nzima hajui, isipokuwa Chartoh (kwa lugha ya kibeberuHayo mafuriko yangelitokea kule chato, serikali nzima ingeamia huko
Hata hujui alisema nini! Shame!Hivi si ndio alisema yeye hakuleta nafuriko kwa wale wa kagera.
Viongozi wawe makini kauli zao hubaki hai hata wakifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti serikali ipeleke chakula kwani mafuriko yameletwa na serikali? Watajijua wenyewe!View attachment 1343122View attachment 1343123
Waathirika wa mafuriko Wilayani Kilwa, Lindi ambao wamefikia zaidi ya Elfu 10 katika makambi mbambali yaliyotengwa kuwahifadhi, wamelalamikia uhaba wa mahitaji muhimu ikiwemo chakula .
•
"Chakula tumeambiwa kipo lakini ni kidogo, Watoto na Wazee hali zao ni mbaya, naiomba Serikali iongeze chakula, ituongezee nguo, nguo zote zimeondoka na maji, nyumbba zote zimebomoka, Serikali itusaidie Binadamu sisi" - Mwananchi Kilwa
•
"Mafuriko yanapokuja hayana taarifa, kwa jinsi Watu walivyo wengi, vijiji zaidi ya 16, kaya 3774, Watu zaidi ya Elfu 15 lazima kuwe na shida ya chakula, wanaoguswa waje kuongeza nguvu" - Christopher Ngubiagai, Mkuu wa Wilaya Kilwa
#MillardAyoUPDATES
Siku yakitokea kwake, ndio atajua kwa nini alidhihaki? Hakika watu wanaweza wakamrudishia kauli hiyo hiyoHata hujui alisema nini! Shame!