Tunajiita matajiri wananchi zaidi ya 10,000 Kilwa wanaishi kama wakimbizi kisa mafuriko. Utajiri wetu uko wapi kama hawa tu mnaomba misaada?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
FB_IMG_1580548902253.jpg
FB_IMG_1580548906492.jpg

Waathirika wa mafuriko Wilayani Kilwa, Lindi ambao wamefikia zaidi ya Elfu 10 katika makambi mbambali yaliyotengwa kuwahifadhi, wamelalamikia uhaba wa mahitaji muhimu ikiwemo chakula .

"Chakula tumeambiwa kipo lakini ni kidogo, Watoto na Wazee hali zao ni mbaya, naiomba Serikali iongeze chakula, ituongezee nguo, nguo zote zimeondoka na maji, nyumbba zote zimebomoka, Serikali itusaidie Binadamu sisi" - Mwananchi Kilwa

"Mafuriko yanapokuja hayana taarifa, kwa jinsi Watu walivyo wengi, vijiji zaidi ya 16, kaya 3774, Watu zaidi ya Elfu 15 lazima kuwe na shida ya chakula, wanaoguswa waje kuongeza nguvu" - Christopher Ngubiagai, Mkuu wa Wilaya Kilwa
#MillardAyoUPDATES
 
View attachment 1343122View attachment 1343123

Hayo mafuriko yangelitokea kule chato, serikali nzima ingeamia huko
 
Madawa hamna upatikanaji wa madawa kwenye vituo vyetu vya kutolea huduma za Afya hali ni mbaya, hata panadol tu kupata ni shiida
 
View attachment 1343122View attachment 1343123

Waathirika wa mafuriko Wilayani Kilwa, Lindi ambao wamefikia zaidi ya Elfu 10 katika makambi mbambali yaliyotengwa kuwahifadhi, wamelalamikia uhaba wa mahitaji muhimu ikiwemo chakula .

"Chakula tumeambiwa kipo lakini ni kidogo, Watoto na Wazee hali zao ni mbaya, naiomba Serikali iongeze chakula, ituongezee nguo, nguo zote zimeondoka na maji, nyumbba zote zimebomoka, Serikali itusaidie Binadamu sisi" - Mwananchi Kilwa

"Mafuriko yanapokuja hayana taarifa, kwa jinsi Watu walivyo wengi, vijiji zaidi ya 16, kaya 3774, Watu zaidi ya Elfu 15 lazima kuwe na shida ya chakula, wanaoguswa waje kuongeza nguvu" - Christopher Ngubiagai, Mkuu wa Wilaya Kilwa
#MillardAyoUPDATES
sitaki kumung'unya maneno hii habari imenichanganyia mafaili vibaya mno, hii ni aibu tosha kabisa
 
View attachment 1343122View attachment 1343123

Waathirika wa mafuriko Wilayani Kilwa, Lindi ambao wamefikia zaidi ya Elfu 10 katika makambi mbambali yaliyotengwa kuwahifadhi, wamelalamikia uhaba wa mahitaji muhimu ikiwemo chakula .

"Chakula tumeambiwa kipo lakini ni kidogo, Watoto na Wazee hali zao ni mbaya, naiomba Serikali iongeze chakula, ituongezee nguo, nguo zote zimeondoka na maji, nyumbba zote zimebomoka, Serikali itusaidie Binadamu sisi" - Mwananchi Kilwa

"Mafuriko yanapokuja hayana taarifa, kwa jinsi Watu walivyo wengi, vijiji zaidi ya 16, kaya 3774, Watu zaidi ya Elfu 15 lazima kuwe na shida ya chakula, wanaoguswa waje kuongeza nguvu" - Christopher Ngubiagai, Mkuu wa Wilaya Kilwa
#MillardAyoUPDATES
Eti serikali ipeleke chakula kwani mafuriko yameletwa na serikali? Watajijua wenyewe!
 
Back
Top Bottom