Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Waathirika wa mafuriko Wilayani Kilwa, Lindi ambao wamefikia zaidi ya Elfu 10 katika makambi mbambali yaliyotengwa kuwahifadhi, wamelalamikia uhaba wa mahitaji muhimu ikiwemo chakula .
•
"Chakula tumeambiwa kipo lakini ni kidogo, Watoto na Wazee hali zao ni mbaya, naiomba Serikali iongeze chakula, ituongezee nguo, nguo zote zimeondoka na maji, nyumbba zote zimebomoka, Serikali itusaidie Binadamu sisi" - Mwananchi Kilwa
•
"Mafuriko yanapokuja hayana taarifa, kwa jinsi Watu walivyo wengi, vijiji zaidi ya 16, kaya 3774, Watu zaidi ya Elfu 15 lazima kuwe na shida ya chakula, wanaoguswa waje kuongeza nguvu" - Christopher Ngubiagai, Mkuu wa Wilaya Kilwa
#MillardAyoUPDATES