Havizya JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 499 Reaction score 702 Apr 6, 2012 #1 Ccm bila shaka yoyote imepata ujumbe, kazi yao ni kuamua wafanye nini na ujumbe huo
KELVIN GASPER JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,066 Reaction score 454 Apr 6, 2012 #2 mfiwa hafutiw machozi kwa kutafutiwa cheo.
Ork Member Joined Mar 23, 2012 Posts 40 Reaction score 8 Apr 6, 2012 #3 Namuangalia hapa Kapoka yupo Star tv anasema cdm ipo kwenye pik na chichiem inashuka ngazi,na hivyo cdm wakimsimamisha mwehu kirumba na ccm wakisimamisha prof automatic cdm inashinda
Namuangalia hapa Kapoka yupo Star tv anasema cdm ipo kwenye pik na chichiem inashuka ngazi,na hivyo cdm wakimsimamisha mwehu kirumba na ccm wakisimamisha prof automatic cdm inashinda
KELVIN GASPER JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,066 Reaction score 454 Apr 6, 2012 #4 sura ya nape wakati anakiri kushindwa na kuipongeza cdm inatia shaka kama alikuwa na dhamira ya dhati ya kufanya hivyo.
sura ya nape wakati anakiri kushindwa na kuipongeza cdm inatia shaka kama alikuwa na dhamira ya dhati ya kufanya hivyo.