Tunajifunza nini hapa?

Wananchi wanampa mamlaka mwananchi mwenzao waliomchagua,baada ya kumpa mamlaka,akawageuka na kutumia Polisi kuwapiga hao waliompa mamlaka,

Labda suala la kujiuliza hapa,hao wananchi wamefanya kosa gani?

Maana kumpa mtu mamlaka haimaanishi nyie mliompa mamlaka muende kinyume na taratibu na sheria za nchi,

Nimejaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…