Tunaisubiri kwa hamu UNITED FRONT

njia pekee ya masikini kupambana na tajiri ni kwa kutoa matusi na uchawi .
 
kwani Tanzania rais hupatikana kwa sanduku la kura?
 
njia pekee ya masikini kupambana na tajiri ni kwa kutoa matusi na uchawi .
Ukitaka uwe TAJIRI hatua ya kwanza ni "Get away from Social Networks", hiyo principle wanaelezea matajiri wote duniani. Wewe utaendelea kuwa maskini sababu kipimo chako cha utajiri kipo chini sana.Hujui hata principles za matajiri.Endelea kushinda Jamii Forums labda Mbowe atakuongezea malipo.Ila ukweli ni kuwa wewe huwezi kuwa tajiri hata siku za karibuni kutokana na ufinyu wako wa akili.
 
Umoja unatupa ushindi,hakuna kitu CCM wanakiogopa kama muungano wa dhati kama hùu wa UNITED FRONT trust me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…