Nadhani wahusika wamekusikia na bila shaka wanaangalia kwanza pros and cons kabla ya utekelezaji.Siku ukijua kuwa wote uliowataja wapo kwa ajili moja TUMBO(MASLAHI) ndo siku utakuwa umepata ukombozi wa Kweli, hakuna mtu kati ya hao mwenye uchungu na bibi yako au shangazi kijijini, wote wanatafuta shilingi tu Ila kwa kuwa upeo wako wa kuona mbali ni mdogo(reasoning capacity) endelea kuota.
Tumebakiza muda mfupi tuingie kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na baadae Uchaguzi mkuu.Nadhani wahusika wamekusikia na bila shaka wanaangalia kwanza pros and cons kabla ya utekelezaji.
Unafiki wenu utadhihika mkijaona maendeleo makubwa chini ya serikali ya awamu ya tano!Ndugu zangu CHADEMA,CUF Original ya Maalim Seif na ACT WAZALENDO wakati ni huu wa kuunganisha vyama vyetu na kupanga mikakati ya kushika dola.
Watanzania wengi wanasubiri siku hii tuwe serious tuache kucheza miziki tumayopigiwa na CCM pia kuna watu wengi ambao wako ndani ya Chama Tawala ambao wakituona tumeungani sha mikakati watakuja kwa maalfu
Ndugu zanguni viongozi wetu Maalim Seif,Freeman Mbowe, Zitto Kabwe wekeni tofauti zenu pembeni unganeni sio kama ule umoja wa UKAWA safari hii tunataka muungano kama ule wa Afroshirazi na Tanu
Tukiwa kitu kimoja tutaweka mfumo imara wa kuyatambua Mapandikizi kutoka CCM kwani ndio kazi yao iliyobakia kutuwekea mapandikizi halafu kuja kuyanunua.
Tuwe makini nahodha analizamisha ja hazi kwa makusudi wakati sote tumo ndani.
Mungu wabariki wapinzani,mungu ibariki Tanzania.
Kama wewe ushaanza ropo ropo hapa Jf huo usiri mkubwa utatoka wapi?Tumebakiza muda mfupi tuingie kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na baadae Uchaguzi mkuu.
Nafikiria haya mambo kwanza yafanyike kwa usiri mkubwa viongozi wetu wakiisha kubaliana ndio mambo yawekwe hadharani.
endelea kusubiri lakini hata kama wakiungana huwa muungano waom haudumu kwa sababu kila chama kinataka kutawala wengineNdugu zangu CHADEMA,CUF Original ya Maalim Seif na ACT WAZALENDO wakati ni huu wa kuunganisha vyama vyetu na kupanga mikakati ya kushika dola.
Watanzania wengi wanasubiri siku hii tuwe serious tuache kucheza miziki tumayopigiwa na CCM pia kuna watu wengi ambao wako ndani ya Chama Tawala ambao wakituona tumeungani sha mikakati watakuja kwa maalfu
Ndugu zanguni viongozi wetu Maalim Seif,Freeman Mbowe, Zitto Kabwe wekeni tofauti zenu pembeni unganeni sio kama ule umoja wa UKAWA safari hii tunataka muungano kama ule wa Afroshirazi na Tanu
Tukiwa kitu kimoja tutaweka mfumo imara wa kuyatambua Mapandikizi kutoka CCM kwani ndio kazi yao iliyobakia kutuwekea mapandikizi halafu kuja kuyanunua.
Tuwe makini nahodha analizamisha ja hazi kwa makusudi wakati sote tumo ndani.
Mungu wabariki wapinzani,mungu ibariki Tanzania.
Unafiki wenu utadhihika mkijaona maendeleo makubwa chini ya serikali ya awamu ya tano!
Kati ya ccm.na hao nani TUMBOMANIA ZAIDI MAANA CCM INA MIAKA YOTE NA BADO BB YAKO NA BABU NA NDG ZAKO WOTE KULE VIJIJINI NA MIJINI BADO WANASOTA HAWANA BASIC NEEDS, NA BADO CCM IMAKOMAA NA MADARAKA KWA NJIA ZOTESiku ukijua kuwa wote uliowataja wapo kwa ajili moja TUMBO(MASLAHI) ndo siku utakuwa umepata ukombozi wa Kweli, hakuna mtu kati ya hao mwenye uchungu na bibi yako au shangazi kijijini, wote wanatafuta shilingi tu Ila kwa kuwa upeo wako wa kuona mbali ni mdogo(reasoning capacity) endelea kuota.
Ni vigumu sana kuunganisha masultani,kila mtu ana uchu wa madarakaNdugu zanguni viongozi wetu Maalim Seif,Freeman Mbowe, Zitto Kabwe wekeni tofauti zenu pembeni unganeni sio kama ule umoja wa UKAWA safari hii tunataka muungano kama ule wa Afroshirazi na Tanu
Makamba Sr. aliposema Nape ni Mchwa aliyeota mabawa ulikuwa wapi wewe?Mbowe aliposema "Zitto ni msaliti" ulikuwa haujazaliwa?
Wewe tulia tuu ! Eventually you will roll back and swallow your pride utakapo shuhudia haya tunayo sema !Neno maendeleo nadhani hata maana yake hujui,kama Uchumi unashuka kila siku maendeleo yanakujaje?! au maendeleo ya kwenye khanga.
Kuna mahali umeona nikiwatetea CCM?,huwa kinachonishangaza ni kuona mtu anaweka imani yake kwa watu kisa wapinzani, wote ni wapiga dili tu Ila kutokea pande mbili tofauti.Kati ya ccm.na hao nani TUMBOMANIA ZAIDI MAANA CCM INA MIAKA YOTE NA BADO BB YAKO NA BABU NA NDG ZAKO WOTE KULE VIJIJINI NA MIJINI BADO WANASOTA HAWANA BASIC NEEDS, NA BADO CCM IMAKOMAA NA MADARAKA KWA NJIA ZOTE
uongo utakusaidia nini wewe masikini ?Siku ukijua kuwa wote uliowataja wapo kwa ajili moja TUMBO(MASLAHI) ndo siku utakuwa umepata ukombozi wa Kweli, hakuna mtu kati ya hao mwenye uchungu na bibi yako au shangazi kijijini, wote wanatafuta shilingi tu Ila kwa kuwa upeo wako wa kuona mbali ni mdogo(reasoning capacity) endelea kuota.
Hahaha.. Bado unaendelea kuwaita watu maskini?,huku ukishinda kwenye mitandao ya kijamii masaa 24?, Mkuu nina uhakika % kubwa wewe limbukeni, huna exposure yoyote hata passport huna, ni wale watu mnaojua yaliyowazunguka tu.Halafu uwezo wako wa kung'amua mambo ni mdogo Sana.Umejawa na ushabiki wa kipumbavu tu.Nitaendelea kukuelimisha ili uwe unapitia hata Google ujue kuwa hakuna tajiri yoyote duniani utamkuta anashinda Kwenye mitandao ya kijamii masaa 24 hata mmoja.Narudia HAYUPO!!., Wewe ni FALA mmoja tu hapo uswahilini kwenu wanakusifia na Altezza yako ya zamani au BREVIS magari ya kizamani na wewe unavimba kichwa.uongo utakusaidia nini wewe masikini ?