Pole sana huko ni balaa. Hata sisi tuko mapinga kuna mwanamke anaitwa Mwanahamisi ni tapeli wa mashamba ile mbaya. Cha kushangaza anatumia majina matatu tofauti katika utapeli wake na watendaji wanamkubalia katika mikataba ya kitapeli. Ukienda polisi utakuta ana kesi tofauti na majina tofauti lakini wamemkubalia kufungua hizo kesi. Na ukifuatilia kuhusu eneo ambalo yeye kavamia unawekwa ndani wewe mwenye eneo lako na unapelekwa mahakama ya kibaha kwa kuharibu mali. Ukifika huko anasema huyu naomba afungwe miezi sita. Waweza fungwa na yeye anaendelea kujenga kwenye kiwanja chako. Ameinunua serikali ya kijiji cha mapinga yote mpaka kituo cha polisi. Ukienda kuomba RB yake hapo kituoni hawakupi, na wakikupa hawamkamati. Ila yeye akisema kamkamate fulani, mara unakamatwa. kuna wenzetu walikamatwa na huyo mama kisa yeye huyo mama ndio kapokonya ardhi ya wenzie na akaweka walinzi. wale kujitetea kawageuzia kuwa wamebomoa sehemu ni yake. Yaani hupewi muda ukajieleza. Na anafahamika serikali yote ya kijiji lkn wanamtetea.Sisi ni watoto yatima wa marehemu mzee Rajabu tuko watoto 9,tuna eneo letu la ekari tatu maeneo ya GOBA karibu na petrol station ya oil link,kuna mama anaitwa Lilian Kileo ametupora eneo letu kwa kushirikiana na mtendaji wa kata ya Goba bwana Mzaganya,tumefuatilia haki yetu baraza la ardhi la kata bila mafanikio,watendaji wa kata wamekuwa wakihongwa pesa na mama lilian kileo ili kutunyima haki yetu,hivyo tunaomba msaada wako,huyu mama ni tapeli maarufu wa viwanja hapa mjini,
Huyu mama ametengeneza hati fake kwa kushirikiana na mtendaji kata anaitwa mzaganya,mtendaji amehongwa tsh 40M iliapindishe sheria,kwa sasa huyu mama ameleta walinzi wa kampuni binafsi walinde,pia anajenga ukuta wakati mahakama imemzuia,pia anawatumia polisi wa kituo cha kawe kututishia,mwezi uliopita walimweka ndani kaka yangu mkubwaPole sana huko ni balaa. Hata sisi tuko mapinga kuna mwanamke anaitwa Mwanahamisi ni tapeli wa mashamba ile mbaya. Cha kushangaza anatumia majina matatu tofauti katika utapeli wake na watendaji wanamkubalia katika mikataba ya kitapeli. Ukienda polisi utakuta ana kesi tofauti na majina tofauti lakini wamemkubalia kufungua hizo kesi. Na ukifuatilia kuhusu eneo ambalo yeye kavamia unawekwa ndani wewe mwenye eneo lako na unapelekwa mahakama ya kibaha kwa kuharibu mali. Ukifika huko anasema huyu naomba afungwe miezi sita. Waweza fungwa na yeye anaendelea kujenga kwenye kiwanja chako. Ameinunua serikali ya kijiji cha mapinga yote mpaka kituo cha polisi. Ukienda kuomba RB yake hapo kituoni hawakupi, na wakikupa hawamkamati. Ila yeye akisema kamkamate fulani, mara unakamatwa. kuna wenzetu walikamatwa na huyo mama kisa yeye huyo mama ndio kapokonya ardhi ya wenzie na akaweka walinzi. wale kujitetea kawageuzia kuwa wamebomoa sehemu ni yake. Yaani hupewi muda ukajieleza. Na anafahamika serikali yote ya kijiji lkn wanamtetea.
Hivyo kama Mh. Lukuvi yupo humu, na kuna watu wa TAKUKURU wakifuatilie hiki kituo na ofisi ya kata ya Mapinga kwa kweli watakuta malalamiko ni mengi sana kuhusu huyu mama na si kwa hao wenzetu tu hata ya watu wengine.
Huyu mama ametengeneza hati fake kwa kushirikiana na mtendaji kata anaitwa mzaganya,mtendaji amehongwa tsh 40M iliapindishe sheria,kwa sasa huyu mama ameleta walinzi wa kampuni binafsi walinde,pia anajenga ukuta wakati mahakama imemzuia,pia anawatumia polisi wa kituo cha kawe kututishia,mwezi uliopita walimweka ndani kaka yangu mkubwa
Nendeni ofisi kwake