Wachezaji wa Simba sisi mashabiki wenu tunawadai kimoja kati ya vitu vitatu vifuatavyo na ikiwezekana vyote
1. Kumfunga Berkane na kuchukua shirikisho
2. Kuwafunga " hatuchezi fc na kuchukua ligi
3. Kuwafunga "hatuchezi fc " na kuchukua crdb
Haya mambo matatu mkishindwa kufanya hata moja kisha tumalize msimu patupu haikubaliki, ni either muondoke wote tuanze upya
Tumechoka unyonge wa miaka minne