choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,089
Ateba akiwa serious na Zimbwe mzee wa backpass asiye na speedNa yote yanawezekana
Tusubiri tuone maana watacheza tuuHahaha japo sio shabiki sana wa mpira, ila hao "Hatuchezi Fc" huwa simba haina ujanja labda mwaka huu
Tunataka tuone wachezaji wetu watatupa kipi msimu huu au ni patupu tenaHakuna hata moja mtakallfanikiwa
Mbereko Fc na huu msimu ni bila bila. Hakuna mtakacho ambulia. Mbinu zenu zote haramu zimebainika. Kwa hiyo mjipange tu kwa msimu ujao.Wachezaji wa Simba sisi mashabiki wenu tunawadai kimoja kati ya vitu vitatu vifuatavyo na ikiwezekana vyote
1. Kumfunga Berkane na kuchukua shirikisho
2. Kuwafunga " hatuchezi fc na kuchukua ligi
3. Kuwafunga "hatuchezi fc " na kuchukua crdb
Haya mambo matatu mkishindwa kufanya hata moja kisha tumalize msimu patupu haikubaliki, ni either muondoke wote tuanze upya
Tumechoka unyonge wa miaka minne
Ni wiki chache tuu zimebaki kukamilisha hayaMbereko Fc na huu msimu ni bila bila. Hakuna mtakacho ambulia. Mbinu zenu zote haramu zimebainika. Kwa hiyo mjipange tu kwa msimu ujao.
Haha! Ulikuwa sahihi mkuu..Hakuna hata moja mtakallfanikiwa
Hayawi hayawi sasa yamekuwa...na hiyo point yako no. 2 SAHAU kabisa.Wachezaji wa Simba sisi mashabiki wenu tunawadai kimoja kati ya vitu vitatu vifuatavyo na ikiwezekana vyote
1. Kumfunga Berkane na kuchukua shirikisho
2. Kuwafunga " hatuchezi fc na kuchukua ligi
3. Kuwafunga "hatuchezi fc " na kuchukua crdb
Haya mambo matatu mkishindwa kufanya hata moja kisha tumalize msimu patupu haikubaliki, ni either muondoke wote tuanze upya
Tumechoka unyonge wa miaka minne
Nawakumbusha wachezaji wa simba tunachowadaiUnakumbuka kuhesabu??
SawaSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Makelele SC.
5. Malalamiko/Lia lia SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau/Mapaka SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mwakarobo SC.
11. Mbeleko/Bebwa bebwa SC.
12. Manguruwe SC.
13. Miso Misonda SC.
14. Mikia SC.
15. Mbuzi SC.
16. Zuwena SC.
17. Khamsa Khamsa/5imba SC.
18. Kufa Kiume SC.
19. Kikanuni SC.
20. Bahasha SC.
21. Ngada SC.
22. Kolowizards SC.View attachment 3352230