Tunachimba visima

Tunachimba visima

egm0

Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
59
Reaction score
32
Tunachimba visima ndani ya Dar es salaam na mikoani.

Contact:+255718268207
 
Keben tunapatana kulingana na ukubwa wa kazi
 
weka bei,,,kama unatafuta wateja unatoa specifications...why uhuni uhuni sana dar?
 
Visima vya maji ya kunywa vya malingi huwa mnachimba?
Nina shida ya kuchimba kisima kifupi cha malingi chenye urefu wa mita 30 hapa Dsm, ni sehemu laini yenye chemi chemi kwa hiyo sioni sababu ya kufanya survey. Gharama ya ufundi, malingi na (gravels za kusafishia maji kama ni lazima) jumla ni bei gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom