Tunachimba Visima

saidy17

Member
Joined
Jan 19, 2017
Posts
37
Reaction score
4
Tunachmba visima kwa bei nafuu maeneo ya dar es salaam kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba zifuatazo 0656535266
 
Hatuna mkuu
Nataka kuchimba kisima cha umwagiliaji pale bagaboyo ambacho kitatukia pump.
Kwa ufupi mnaweza nipa gharama zake?
Je kuna pump ambayo inaweza endeshwa na sola?
Nipen gharama ya kuchimba, bombaa na pump yenye nguvu, tuonge biashara
 
Weka na bei na mita kabisaa ili tukipiga Sim tujue tunaanzia wap!!!
 
Weka na bei na mita kabisaa ili tukipiga Sim tujue tunaanzia wap!!!
Hatuchimbi kwa mita boss, sisi huwa tunapiga mahesabu ya jumla inamaana mpka tujue ni wap, ili tujue tunachimba mita ngapi na tuje kufanya kazi
 
Hatuchimbi kwa mita boss, sisi huwa tunapiga mahesabu ya jumla inamaana mpka tujue ni wap, ili tujue tunachimba mita ngapi na tuje kufanya kazi
Weka bei ya wastani kutokana na uzoefu wenu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…