Tunachimba visima vya maji vya kisasa sana

Tunachimba visima vya maji vya kisasa sana

Villanova tito

Senior Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
148
Reaction score
154
✍️KARIBUNI SANA Wells technology wachimbaji visima vya maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu wanyama na mimea Leo tutakupa hatua FUPI za kufata KABLA HUJACHIMBA KISIMA Cha kisasa


✍️hatua ya kwanza ni geophysical survey yaan utafiti wa maji ardhini katika eneo lako hapo atakuja mtalaam na vifaa digital vya kupima eneo kujua Je Kuna mikondo ya maji Iko umbali gani aina ya miamba Je Kuna mfumo wa maji taka kisima kichimbwe eneo Gani kwa usalama hatua hii ni muhimu Sana SABABU ndio inatoa mwongozo na gharama halisi za kisima mpk kikamilike


✍️hatua ya pili kuomba kibali Cha uchimbaji kwenye mamlaka husika kama wami ruvu hizi mamlaka hutoa kibali kuendelea ZOEZI kwa sababu za usalama wa maji na vyanzo vyake


✍️hatua ya tatu uchimbaji hatua hii ni mkandarasi kuja site na vifaa kwa AJILI ya kuchoronga mwamba mpk mita AMBAZO report imesema afike BAADA ya hapo mkandarasi ataweka Bomba special PVC kwa ajili ya kuchota maji kwenye mikondo ili kuwa safi na salama
✍️Hatua ya mwisho ni uvunaji maji hapa itafungwa pump special kuvuta maji mpk juu kwa ajili ya matumizi


Mawasiliano 0657710078
0769509666
Ushaur ni bure


Tunapatikana dar es salaam
 

Attachments

  • 1748020880088.jpg
    1748020880088.jpg
    592.9 KB · Views: 20
  • 1748020876564.jpg
    1748020876564.jpg
    645.9 KB · Views: 18
  • 1748020872848.jpg
    1748020872848.jpg
    688.5 KB · Views: 12
  • 1748020869905.jpg
    1748020869905.jpg
    711.1 KB · Views: 19

Similar Discussions

Back
Top Bottom