Tunachimba visima kwa gharama sawa na bure kabisa

Tunachimba visima kwa gharama sawa na bure kabisa

Joined
Nov 10, 2015
Posts
45
Reaction score
1
Tunachimba visima bei ni TZS 70,000/= kwa mita moja na hii bei ni kwa wale waliopo Dar es salaam ila kama upo nje ya Dar es salaam tunachimba Laki moja kwa mita moja. Tunafunga Pampu pamoja na kukupa Tanki la Lita 1000 au 2000.

Tupo Dar es salaam
Tuwasiliane kupitia namba 0659839446..
 
Ikiwa hii bei ni sawa na bure (offer), je bei ya kawaida isiyo na offer hua inakuaga ni shilling ngapi kwani?

CC Poxino
 
Last edited by a moderator:
Kwa uzoefu wako, wastani wa mita ngapi unahitajika kupata maji safi?

Naulizia wastani kwa sababu najua vina vinatofautiana eneo moja na lingine.
 
Ningepata wastani wa mita labda ningeanza kuandaa bajeti.
 
Mbezi maeneo ya Msakuzi inaweza kuwa Mita ngapi mkuu ili niandae budget maana maandalizi ya kuanzisha makazi yamepamba moto.
 
Tunachimba visima bei ni TZS 70,000/= kwa mita moja na hii bei ni kwa wale waliopo Dar es salaam ila kama upo nje ya Dar es salaam tunachimba Laki moja kwa mita moja. Tunafunga Pampu pamoja na kukupa Tanki la Lita 1000 au 2000.

Tupo Dar es salaam
Tuwasiliane kupitia namba 0659839446..
Ukichimba kisima na kama maji ni ya chumvi, je kuna njia yoyote ya kuyafanya yawe baridi?
 
Naomba kuuliza kwa maeneo ya Tabata kwa uzoefu wako itakuwa ni meter ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom