Unajua mm sikatai shark mbona uta wapata watu mpk elf 40000 kwamita ila vifaa watakavyo tumia nifeki ya hatari kwangu mm kua na wateja 10 kwa mwaka niheri kuliko kua nawateja 100 kwamwaka ambao wameniulia kampuni kwakua tu nimewakea vifaa vyabei yachini kisha wanatangaza kampuni yangu inatoa huduma mbovu
Mm kwangu mita nachimba kwa elf 65,000 we ukipata kwa 50,000 huria minangalia gharama za vifaa vyenyeubora na mudawangu wafanyaji wakazi kisha naweka bei
Watu wanataka uainishe kwamba kuchima mita 1 ni 65000 lakini maji yakipatikana m10 ni 650 000.pia weka na vifaa vinavyo hitajika, unashindwa hapotu hiyo kampuni unaimiliki vipi?
Hii elfu 65 .ni pamoja na pipe PVC. Au ni gharama za uchimbaji tu. PVC pipe class B inauzwa elfu 40. Ina urefu wa mita 4. Bila kujali ni plain au screening. Gravel ni sh 3 elf kwa kiroba. Pump doying ni sh laki tatu na 30. Rod ina urefu wa 2 metres.