Unajua mm sikatai shark mbona uta wapata watu mpk elf 40000 kwamita ila vifaa watakavyo tumia nifeki ya hatari kwangu mm kua na wateja 10 kwa mwaka niheri kuliko kua nawateja 100 kwamwaka ambao wameniulia kampuni kwakua tu nimewakea vifaa vyabei yachini kisha wanatangaza kampuni yangu inatoa huduma mbovu
Mm kwangu mita nachimba kwa elf 65,000 we ukipata kwa 50,000 huria minangalia gharama za vifaa vyenyeubora na mudawangu wafanyaji wakazi kisha naweka bei
Sawa biashara hulia siwez kukwambia ntakuchimbia mita elf 40 kisha nikakuwekea vifahaa feki bada yamuda ukarudi jf ukasema nimekufanyia kazi mbovu nitapoteza wateja wengi kuliko kawada napo taja bei nangalia na vifaa vyakutumia katika kisima niheri kupata wateja 6 kwamwaka kuliko kupata wateja 20 kwamwaka nakampuni kufa nihayo tu mkuu
Huyu jamaa kakuuliza hili swali lakini umeliruka kama hulioni. Kwa nini bei ya survey haiwekwi wazi? Unajua hata ukienda kununua mbao pale mwenge huwa wanasema kama ni ndani ya Dar usafiri bure lakini nje ya Dar za mwenye mzigo. Kwa nini usiweke distance ili tujue gharama za survey zinakuwaje?
Unajua mm sikatai shark mbona uta wapata watu mpk elf 40000 kwamita ila vifaa watakavyo tumia nifeki ya hatari kwangu mm kua na wateja 10 kwa mwaka niheri kuliko kua nawateja 100 kwamwaka ambao wameniulia kampuni kwakua tu nimewakea vifaa vyabei yachini kisha wanatangaza kampuni yangu inatoa huduma mbovu
Huu uzi naona hua una-comment mwenyewe tu. Ungenisikiliza ukashusha bei ungeona watu watakavyojaa. Ila wewe umekomaa na sijui eti wengine wana vifaa feki,