HEPUKA USUMBUFU WA MAJI YA WASIWASI SASA PATA MAJI YA HUHAKIKA NAYAKUDUMU
1 Tunachimba visima kwa mita 65,000 kwa mwambao wapwani,
2 Tunafanya uchunguzi wa maji kama yapo (water survey) kwa bei nafuu sana
3 Tunatoa pump zilizo katikia ndani yakisima na kufunga pump kwa wale wenye kutaka kubadilisha na kuifanyia service
OFI ZIPO SINZA
karibuni simu 0755984282
Mkuu time theory survey haiwezi kusema maji yapo alafu tukachimbwa yakawa hayapo ila kunawatu wanakawaida yakujita wapimaji wanachofanya wanamisha ripot sehemu walipo pima tukipima sisi na tukachimba swala lakipimo kioneshwe kina maji alafu tuchimbe tusiyakute haijawai kutokea nakuhakikishia
HEPUKA USUMBUFU WA MAJI YA WASIWASI SASA PATA MAJI YA HUHAKIKA NAYAKUDUMU
1 Tunachimba visima kwa mita 65,000 kwa mwambao wapwani,
2 Tunafanya uchunguzi wa maji kama yapo (water survey) kwa bei nafuu sana
3 Tunatoa pump zilizo katikia ndani yakisima na kufunga pump kwa wale wenye kutaka kubadilisha na kuifanyia service
OFI ZIPO SINZA
karibuni simu 0755984282
Tatizo letu waswahili ni kutokuwa precise. Tueleze, mita moja unachimba kwa bei gani? Je, mtu akihitaji huduma yako mathalani yupo Dodoma inawezekana? Na utamfanyia bei gani kwa mita?Huduma nzuri ila unajua mnatakiwaga kuwa concise na kauli mnazoongea sasa bei nafuu sana ni ipi?
kwangu na kwa mengi ukisema bei nafuu ni vitu viwili tofauti kabisa,embu jaribuni kuwa wa wazi ndugu tuokoe resources kama muda wako na wetu wa kuuliza na kujibiwa pamoja na vocha za kupigiana. Asante
Tatizo letu waswahili ni kutokuwa precise. Tueleze, mita moja unachimba kwa bei gani? Je, mtu akihitaji huduma yako mathalani yupo Dodoma inawezekana? Na utamfanyia bei gani kwa mita?