Je una print label za transparent ?Niko Dar, Kigamboni
Bei gani?Yes tuna print 0762027102
Inategemea na maneno, bei inaweza kuanzia 1500 nakuendelea, kama ni ya rangi moja bei inapungua, au zikiwa nyingi,
Hiyo imekaa kichochezi sijui kama atakubaliKwa mfano wa maandishi
BABA LEGEZA KIDOGO
Tshirt ngapii
Hiyo imekaa kichochezi sijui kama atakubali
Hiyo inajumuisha design ya maandishi eg. Nataka italic au Gotham, je t shirt naichukua baada ya mda gani nkisha iacha ifanyiwe kazi!Tshirt na Printing ni Tsh 13,000@
Tshirts kama zako ni 4000@
Zikiwa nyingi inapungua