Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,349
- 4,402
Zote nyamaa tu mkuu hata ungehamia sudani just okMi nilishawahi kuwa na demu wa kitutsi ila waliposafiri hawajarudi tena,nina mpango nimbandue na wakihutu nifunge mahesabu na wanyarwanda halafu nihamie DR Congo
Nalog off
Walau mkuu hiloo umelionaRwanda - 26, 338 square kilometres.
Tabora - 76, 150 square kilometres.
Wenzetu wanajenga nyumba ya vyumba viwili. Sisi tunajenga ghorofa lenye floor zaidi ya 20.
Yani hapo ni kama vile umesifia kwamba mchicha umekua haraka kuliko mbuyu!
Hakuna cha kujifunza labda tuwatume madogo wa bavicha na uvccm wakajifunze propaganda.Inavutia sana kuna mengi nimejifunza Rwanda.
Ndugu yangu unatatizo, napendela nikusaidie kama utakuwa tayari.Hakuna cha kujifunza labda tuwatume madogo wa bavicha na uvccm wakajifunze propaganda.
Nahisi wewe ndo uko na tatizo mimi ndo nikusaidie.Ndugu yangu unatatizo, napendela nikusaidie kama utakuwa tayari.
Nakuombea mema ndugu yangu kuwa na amani.Nahisi wewe ndo uko na tatizo mimi ndo nikusaidie.
Na mimi nakuombea mema ili uuache kupiga propaganda za kitoto.Nakuombea mema ndugu yangu kuwa na amani.
Unaona sasa hilo tatizo linavyokutafuna polepole?Na mimi nakuombea mema ili uuache kupiga propaganda za kitoto.
Sijui kama watakuelewa.Rwanda - 26, 338 square kilometres.
Tabora - 76, 150 square kilometres.
Wenzetu wanajenga nyumba ya vyumba viwili. Sisi tunajenga ghorofa lenye floor zaidi ya 20.
Yani hapo ni kama vile umesifia kwamba mchicha umekua haraka kuliko mbuyu!
Santeeee kiongoziZote nyamaa tu mkuu hata ungehamia sudani just ok
Mkuu una ujuzi kidogo na hii nchi uniambie kipato cha raia wa chini kabisa anachoingiza kwa siku kipo vipi ukilinganisha na huku Tz?Master Planner na siyo Master Plan.