Wadau mi leo nimekaa chini na kutafakari the way tunavyo mkosea Mungu makosa mengi lakini kwa neema yake tunaendelea kuishi vizuri,
Kama ingekuwa ni utaratibu kwamba kila ukitoka kuzini automatically usoni unaota doti kubwa jeusi kwa mweupe na jeupe kwa mweusi ukubwa wa dhabibu kwa kila tendo,
Je, wewe mdau wangu jiulize kwenye nafsi yako mwenyewe, wewe binafsi ungekuwa na midoti mingapi? Mi ningekuwa na kidoti kimoja tu, kuna watu humu ndani wangekuwa na midoti kibao hata mwili mzima kama chui,
Tumuogopeni Mungu wadau, kama ujana unakusumbua ujaoa wala kuolewa vumilia kibish bish hivyo hivyo hadi utakapo funga ndoa (ya kidini), sio ya kimila wala ya serikari hazitambuliki na Mungu, nishamaliza Mimi,