Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,056
- 1,867
Vitu vingine wala si vya kuomba ushauri
Kama jamaa kabadilika si na yeye abadilike tu????
Ya nini kung'ang'aniana
yaani huyu dada alimpenda sana bf wake kwa hiyo anadai ataumia akikata mahusiano gafla.
Sasa ushauri wa nini hapo?
huon kuwa its over?
Sasa ushauri wa nini hapo?
huon kuwa its over?