Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,556 Mar 24, 2015 #1 Kaniuliza swali nini maana ya Michango kwa mwanamke,binafsi sikuwa na jibu ila baada ya kumdodosa akanambia anaugua Michango,akina mama ni tiba gani mnamshauri mama mdada Huyu atumie ...msaidieni mwenzenu
Kaniuliza swali nini maana ya Michango kwa mwanamke,binafsi sikuwa na jibu ila baada ya kumdodosa akanambia anaugua Michango,akina mama ni tiba gani mnamshauri mama mdada Huyu atumie ...msaidieni mwenzenu
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,639 Reaction score 47,716 Apr 5, 2015 #2 Mwambie hospitali zipo kwa ajili ya watu kama yeye