Tumia Internet Download Manager (IDM) daima

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,227
Reaction score
1,821
Habari zenu ndugu,
leo nimewaletea Final version ya 6.19 ya Internet Download Manager ambayo utaidownload hapa
Baada ya kudownload utaextract .zip file ya IDM ambayo utaiextract kwa WinRar/7-zip. Ukifungua folder ndani utakuta kuna "idm yenyewe" folder jingine lenye jina la "Crack".


Install IDM ukimaliza hakikisha unaifunga kwenye system tray.Kama hivi:



Sasa ingia kwenye folder la "Crack" na ufanye copying ya 2 files "IdMan" na "IDMGrHlpr".



Tukumbuke kuwa hili file la "IDMGrHlpr" ndiyo IDM helper ambayo ndiyo hutoa error ya Fake serial number registration.
Baada ya kucopy nenda uka-paste kwenye "C:\Program Files\Internet Download Manager" kwa 32bit na "C:\Program Files x86\Internet Download Manager" kwa 64 bit.



NIMETOA MAELEKEZO HAYA KWA WALE WATAKAOHITAJI ASSISTANCE.
WELCOME!!!
 
kaka asante sana, nimefuata hatua zote na imekamilika, hope it will work. ndo naanza kudownload iTunes hapa. ubarikiwe.
 
Kaka Dream Chaser, nimeshtuka jana nimeletewa msg kuwa Idm yangu ina siku tisa tu iache kupiga msigo kwa kuwa haina register na nilifuata maelekeo yako yote. tunafanyaje mkuu
 
Kaka Dream Chaser, nimeshtuka jana nimeletewa msg kuwa Idm yangu ina siku tisa tu iache kupiga msigo kwa kuwa haina register na nilifuata maelekeo yako yote. tunafanyaje mkuu

Hata mimi waliniletea ujumbe kuwa muda wa trial umekwisha lakini bado inapiga mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…