Nimesoma hii comment nikaunganisha na ile mistari ya Mbosso nimecheka kinoma 🤣🤣🤣🤣🤣...Umenikumbusha yule mshauri_dauditz wa insta.....kama una mtaji kuanzia laki mbili.....Inaonekana ndio hulka yake kutotulia kwnye ndoa, angekua na msimamo angekataa na kumchana jamaa.Ushauri wangu Ampe mzgo jusi kafiri asafishe mtaro ila yatakayo mkuta asije leta uzi humu.
Mume wa mtu ananitesa
Habari za weekend wakuu Miaka 7 iliyopita nilikutana na kaka mmoja Muheza Tanga alikuwa kikazi na mimi pia nilikuwa nipo pale kikazi. Tulikuwa marafiki sana nikajikuta nampenda sana ila yeye alikuwa na mahusiano yake. Basi siku moja uzalendo ukanishinda nikamwambia M, nakupenda sana akasema...www.jamiiforums.com
Nahisi nina pepo la ngono. Mi ni mwanamke...
Heri ya pasaka wakuu. Nimerudi tena ndugu yenu, jaman najihisi Nina pepo LA ngono maana ninayopotia Mungu mwenyewe anajua. Nilikuja hapo awali kuomba ushauri kuhusu yule jamaa wa Muheza niliekua nampenda, nashukuru nilisoma comment zenu nikawaelewa nikaachana nae, huku bado nampenda lakin lakin...www.jamiiforums.com
Binafsi sina povu zaidi ya kukemea pepo la ngono tokAAAAAAAAAAA!!!
Hata mim nimeshindwa kuelewa mleta mada ni jinsia ganiMimi nimeishia hapo uliposema wewe nayeye ni mashoga alafu mnapendana sana..
Sijasoma uzi naomba samarii