Hii uranium nasikia ilitakiwa kwenda iran kutengenezea bomu la kuangamiza mayahudi, Bush kawazidi akili nini? Nyie mairan acheni kulialia humu, kubalini mna shindana na nguvu kubwa mtabaki kujiarishia tu
Marekani inajulikana kwa tabia yake ya kupenda rasilimali za wenzake...anapokuja kuja sana kwetu bila sababu ya msingi, sisi Watanzania ni wajibu wetu kuwa na mashaka naye kwenye mali zetu. Ni kama rafiki yako/mfanyakazi mwezio anayejulikana sana kwa kupenda kutembea na wake za watu mara unamuona anapenda sana kuja kuja nyumani kwako baada ya kuwa amesikia umepata mke hivi karibuni...lazima utakuwa na wasiwasi.
Tanzania nchi yetu hivi karibuni kumegundulika madini yenye thamani sana - uranium, pia kuna deposit kubwa ya mafuta pwani ya Mtwara. Possibly Wamarekani wanataka ku-take advantage kwa serikli ya awamu hii ambayo ina udhaifu ili wajipenyeze na kuchota mali zetu.
''Wasiwasi ndiyo akili...''
wakati bush anasema tomoorow we are going to see animals.............nilifurahia nilipoona mke wa busha alipochomekea..........we are going to serengeti..............
alikuwa rais wa marekani lkn sasa hivi si rais tena,we unaishi wapi hapa duniani? Obama ndo rais wa marekani,huyu kaja kukagua miradi yake aliyowekeza wakt akiwa rais wa ,marekani
alikuwa rais wa marekani lkn sasa hivi si rais tena,we unaishi wapi hapa duniani? Obama ndo rais wa marekani,huyu kaja kukagua miradi yake aliyowekeza wakt akiwa rais wa ,marekani