F F4B JF-Expert Member Joined Jan 13, 2022 Posts 354 Reaction score 447 Aug 31, 2025 #1 Watanzania tumekuwa kama bendera fuata upepo,hatujipi muda wa kutafakari mambo kwa kina mbaya zaidi tumekuwa tukifurahia kusikia maneno tunayotaka sisi kusikia yawe ya kweli au yasiyo ya kweli tunafurahi
Watanzania tumekuwa kama bendera fuata upepo,hatujipi muda wa kutafakari mambo kwa kina mbaya zaidi tumekuwa tukifurahia kusikia maneno tunayotaka sisi kusikia yawe ya kweli au yasiyo ya kweli tunafurahi