Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Wapumbavu mmekutana ila we ni mpumbavu zaidi,mwanaume ukishatoa huduma ya chakula mda ukifika unatengewa chakula unakula bila kuuliza uliza vipande vya nyama ,inaonekana hata hela ya matumizi humwachii kwa ajili ya uchoyo hadi unaenda kununua robo kilo mwenyewe na unahakikisha mpaka mapishi.