Kumbe tatizo la Mtera tulijitakia wenyewe.SOma kwa makini taarifa ya engineer huu anayesema kuwa watanzania hatutaki kuisoma master plan ya bwawa la Mtera.
Msipo ng'oa nguzo za umeme sehemu aliyokataza Arch Bishop KAKOBE mtazozana, kutapeliana na ku-richmond-iana mpaka utimilifu wa nyakati.TRUST IN JESUS AND YE SHALL BE SAVED.