jayec JF-Expert Member Joined Feb 1, 2017 Posts 599 Reaction score 477 Apr 30, 2018 #21 Mwanga Lutila said: Hivi hii inawahusu wafanyakazi Wa taasisi za Serikali pekee au na wa binafsi? Click to expand... Wote mkuu
Mwanga Lutila said: Hivi hii inawahusu wafanyakazi Wa taasisi za Serikali pekee au na wa binafsi? Click to expand... Wote mkuu
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Apr 30, 2018 Thread starter #22 aymatu said: Iringa mama kama unateam ya chakula aka mamantilie wageni washaanza timba so Fanya uwahi location. Click to expand... Aiseee hii imenipita, ningewahi banda..
aymatu said: Iringa mama kama unateam ya chakula aka mamantilie wageni washaanza timba so Fanya uwahi location. Click to expand... Aiseee hii imenipita, ningewahi banda..
BIN NUN JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 4,556 Reaction score 9,468 Apr 30, 2018 #23 Yeah na si unajua chakula hakiangushi. Hamna hasara kiivo ila ukipika kwa kipimo so unapika kama unalisha wewe pekeako [emoji23][emoji23] charminglady said: Aiseee hii imenipita, ningewahi banda.. Click to expand...
Yeah na si unajua chakula hakiangushi. Hamna hasara kiivo ila ukipika kwa kipimo so unapika kama unalisha wewe pekeako [emoji23][emoji23] charminglady said: Aiseee hii imenipita, ningewahi banda.. Click to expand...