Mangi shangali JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 528 Reaction score 822 Jun 4, 2023 #1 Mabingwa wetu tumejiandaa kuwapokea,yani hili litakuwa la kihistoria kwanzia uwanja wa ndege mpaka kaunda. Tutapiga picha na medali zetu. Sisi ndo yanga bana hatunaga jambo dogo kabisa.. Viva young africa Viva tz.. Daima mbele nyuma mwiko
Mabingwa wetu tumejiandaa kuwapokea,yani hili litakuwa la kihistoria kwanzia uwanja wa ndege mpaka kaunda. Tutapiga picha na medali zetu. Sisi ndo yanga bana hatunaga jambo dogo kabisa.. Viva young africa Viva tz.. Daima mbele nyuma mwiko
Igwe Kingdom JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 324 Reaction score 603 Jun 4, 2023 #2 Mwiko nyuma
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,081 Reaction score 75,445 Jun 4, 2023 #3 Nyie si ndiyo kamati ya mapokezi ya wapinzani wa Simba,nendeni