Kwa hiyo ngoma ataachiwa Nchimbi ................. au mpira utarudishwa kwa Salim ............... ila baada ya lile duru la 2005, atahitaji kusafishwa haswa!!
Mkuu tunatakiwa tujiandae vipi na ugeni wenu mapokezi yenu tutaarishe mapanga ya kupambana nanyi au tuwatayarishe sheree: mbona unatatuweka njia panda wenyeji maana msije mkawa mnakuja kwa nia njema yakawakuta ya Capt.Cook misinterpretation of the return from our part.