Enzi wa viongozi waliotuletea uhuru huu tulionnao walidhubuti sisi tume dhubutu pia, unajua kuna kudhubutu mara mbili au zaidi inategemea na mtafasiri wa neno dhubutu, kuna kudhubutu kujaribu kufanikiwa na kuna kudhubutu kumfelisha mtu sasa sisi kweli tumedhubutu na tumefanikiwa kama lengo letu lilikuwa kuifelisha nchi, tumefanikiwa na ole wake atakaesema tusonge mbele kuifelisha nchi hukumu yake itakuwa kuu mbele za macho ya Allah