Tumechanganywa mtu na braza ake.

Mr mgeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,222
Reaction score
812
Habari za mda huu waungwana.

Inauma lakini ndo imeshatokea nimejikuta nikishea dem mmoja na braza bila kujua.Leo ndio nimegundua nilipoenda kwa braza kumsalimia nikawakuta manzi angu na braza wakila denda kavukavu dem alishtuka lakini mimi nikajifanya sielewi chochote kwa sababu huyu braza angu naheshimiana nae kinoma noma.

Roho inaniuma lakini ndio hivyo kaisha kua shemeji tena,na bado ninampenda.
Naombeni ushauri mzuri angalau nipate hata kafaraja ndani ya moyo.
 
Poleni sana ila ukute kaka yako ndiyo alianza kumtomba kabla yako
 
Siku nyingine umwambie awe anakutambulisha shemeji zako mapema.
 
Uyo dem shida yakeilikuwa ni kuwapa ngoma ww na bro wako nazani ilo amesha fanikiwa
 
Na ww tafuta muda wako ita demu km n gheto then kula mate .. broo akifika
 
Very simple mkuu ebu fanya kinyume chake kisha jibu utakalo lipata ndio hilo hilo ulifuate
 
Kama naww ulikuwa unampiga denda huyo demu basi ni sawa na kumpiga denda braza wako [emoji16][emoji3][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…