Tumeamua Kutubu

Emmaloy

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Posts
216
Reaction score
231
Love is a beautiful thing we must not take it for granted. Tokea kipindi tumeanza kujitambua kwa jinsia zetu wote tumepitia mambo mengi sana katika mahusiano. Na kwa vile hatujui ni lini pumzi yetu itafika mwisho basi ni vyema tukatenga muda kwa ajili ya kuomba msamaha na kutubu kutokana na dhambi zetu nyingi tulizozifanya kwa mpenzi/wapenzi, mke/wake , mme/waume. Maisha yanaenda kasi sana, let’s confess. Kuna ambao wamepitia mambo mengi sana hadi kufikia hatua ya kutoa viumbe visivyo na hatia in one way or another ili waweze kufikia ndoto walizonazo so we must confess.

At one point in life we used to be saint, good boys/good girls, playboys/ rude girls but hakuna namna nyingine ya tofauti ambayo inaweza ikatufikisha salama katika safari yetu ya mahusiano tuliyonayo kwa wote tunaowapenda kama tusipoamua kubadilika na kuthamini kile ambacho tunacho kutoka kwa wanaotupenda. Tumesema uongo mwingi sana ambao kwa hali fulani ulionekana kufanana na ukweli lakini kwa upande mwingine ilikuwa ni kutafuta namna ya kuweza kufanikisha azma tuliyokuwa nayo moyoni bila kujali hisia au mapenzi ya wenzetu. Ni busara tukatubu katika hili, let’s confess

Mungu awabariki sana wale wote waliotupa heshima na kutunyenyekea katika muda ambao akili zetu zilikuwa zimekengeuka na mambo ya ujana na tukawaacha wakiwa wamejitela kubaki na ukiwa, tunatubu kwa haya maovu yote. Tumeumiza sana mioyo ya watu huku tukiwafanya watoe machozi kutokana na kumbukumbu mbaya zenye kuumiza za mahusiano, ndoto nyingi njema na nzuri zikapotea sababu ya ulaghai wa mapenzi, upotevu wa pesa bila kusahau muda uliopotea bila kuwa na malengo sahihi kwa watu sahihi. Kwa watu wote, wanawake na wanaume, wasichana kwa wavulana basi tumeamua kabisa tutubu kwa ajili ya maovu yoote yaliyofanyika katika maisha dhalimu ya mapenzi.

For the time being, tumeamua tuwekeze nguvu, muda, pesa, mapenzi ya kweli na akili zetu kwa wale wanaotupenda. Wanawake wanatupenda[emoji3590] na sisi tunawapenda pia[emoji3590]

2021...Emmaloy..[emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…